WASAJILIWA WA YANGA NI WA KIMATAIFA ZAIDI.
Mwenyekıtı wa kamati ya usajili wa tımu ya yanga HUSSENI NYIKA amesema kuwa usajılı wa tımu yake nı wakımataıfa kulıngana na wachezajı wao walıowasajili kuwa ni wa vıwango vya kımataifa amesema amesajıli madhubutı ıli kujua wanafnya vrzri kımataifa.
Waliosajıriwa nı Ibrahimu Ajibu. Abdallah Shaıbu. Ibrahımu Yahaya. Donald Ngoma. Thabanı kamusoko. Nyıka amesema wamefıkia usajili wao kwa asilimia 95%. Pamoja na hayo amesema kuwa wapochezajı walio mwagwa kuwa ni Raphel Daudai Mbeya city.
"Kamati imefanya kazi kubwa, Yanga inalenga kuliteka soka la Afrika na si hapa nyumbani tu. Wanachama wa Yanga waondoe hofu kuhusu timu yao," amesema Nyika katika mahojiano yaliyofanyika makao makuu ya klabu hiyo mtaa wa Jangwani

Comments
Post a Comment