LIGI KUU TZ KUANZA AGOST 26
Ligi kuu ya soka Tanzania Bara Inatarajiwa Kuanza mara moja baada ya mchezo wa Ngao ya Hisani baina Simba na Yanga mchezo utakaochezwa agost 19.Baada ya wiki moja tangu mchezo huo uchezwe'Pazia la ligi kuu Tanzania Bara litafunguliwa rasmi.Na hiyo itakuwa ni tarehe 26 Agost,
Oktoba 14 utapigwa mchezo wa kwanza wa watani wa jadi hapa namaanisha Simba na Yanga.Itakuwa ni mwakanai mwezi wa tano tarehe 20 siku ambayo pazia la ligi hiyo litafungwa rasmi bila shaka Bingwa atakuwa ameshajulikana.
Kwa hisani ya Mariamu

Comments
Post a Comment