WACHEZAJI NYOTA WA EVERTON WASHINDANA KUPIKA CHAKULA CHA ASILI CHA KITANZANIA



NA MARIAMU MTORO

. Timu mbili za wapishi zilizoundwa na Phil Jagielka na Dominic Calvert-Lewin na nyingine ya kina Davy Klaassen na Matty Pennington zilichuana kuonyesha umahili wa kupika chakula cha asili cha Kitanzania.
Timu hizo zilishindana kupika chalula cha kiasili cha Tanzania ambapo Jagielka na Lewin walitakiwa kupika ugali na waliaanza kwa kukoroga uji kisha kupika ugali huo wakati Davy na Matty walipewa kazi ya kupika ndizi na nyama.
Wakisaidiwa na Mpishi Mkuu wa Hoteli ya Sea cliff, aliyetambulika kwa jina Niko nyota hao walijifunza kuhusu upishi wa chakula cha asili cha Watanzania ambacho walisifikia kuwa ni kitamu na baadaye kikaonjwa na balozi wa timu yao, Graham Stuart ambaye ndiye alimtangaza mshindi.

Comments

Popular posts from this blog

SIMBA ILIVYONUSURIKA KUSHUKA DARAJA MWAKA 1989

TUJIKUMBUSHE MECHI KALI KATI YA YANGA NA SIMBA NYAMAGANA 1974?

JINSI YANGA ILIVYOIADHIBU SIMBA MWAKA 1994