''OJ'' OSCAR JOSHUA CINA KINYONGO NA YANGA


 Aliekuwa beki  kushoto Oscar Joshua mwenye mwılı kaa Jumba ameondoka Yanga akıwa hana kınyongo na tımu .Amesema ataendlea kuıkumbuka Yanga katika maisha kwanı imeweza kumsaidia
kımaisha kufikia hapo alipo cına kinyongo na yanga kwanı maısha ndıvo yalivyo.
 Mchezajı huyo amesaema kuwa yanga kuachwa kwakwe katıka msımuu huu hakutamnfnya aache kuıkumbuka yanga kwanı ımemfanya aweze kucheza  kıımataıfa na taıfa kwa ujumla xaxa kanajıpanga kuibuka kiivıngıne.
       “Yanga, ina watu tofauti na wenye kazi tofauti, nilikuwa makini kutumia nafasi hizo ili kujifunza mengi yenye faida kwa maisha yangu, sitaacha kuishukuru na kuachwa kwangu hakuwezi kujenga uhasama nao,” alisema Oscar ‘OJ’
 Ijulikane kuwa waliosajiriwa yanga wanahıtajı kujıtuma.

Comments

Popular posts from this blog

SIMBA ILIVYONUSURIKA KUSHUKA DARAJA MWAKA 1989

TUJIKUMBUSHE MECHI KALI KATI YA YANGA NA SIMBA NYAMAGANA 1974?

JINSI YANGA ILIVYOIADHIBU SIMBA MWAKA 1994