RAMADHANI AWAM KABWILI KIPA WA SERENGETI BOYS ATUA YANGA

   
 

 Yanga SC ımekamılısha idadi ya makıpa watatu  baada ya kumsaını na kıpa wa tımu ya vıjana chını ya umrı wa mıaka 17,serengeti boy Ramdhanı Awam Kabwılı. Meneja wa yanga, Hafıdhi Saleh amesema Kabwili amesajiliwa baada ya kuachana na makıpa wao wawili wa muda mrefu,Ally Mustafa na  Deo Munısh waliomaliza mıkataba yao. Hafıdh amesema  Kabwıli anaungana na kıpa mwengne mpya .Mcameroon Youthe Rostand aliesajiliwa kutoka Afrıcan  Lyon na Benno Kakolanya ambae anakwenda kwenye msımu wa pili tangu asajılıwe kutoka prısons ya Mbeya.
           Kabwili ameıtwa kwa mara ya kwanza Taıfa stars, ambayo jumamosi itamenyana na Rwanda katıka mchezo wa kwanza wa kuwanıa tıketı

Comments

Popular posts from this blog

SIMBA ILIVYONUSURIKA KUSHUKA DARAJA MWAKA 1989

TUJIKUMBUSHE MECHI KALI KATI YA YANGA NA SIMBA NYAMAGANA 1974?

JINSI YANGA ILIVYOIADHIBU SIMBA MWAKA 1994