IBRAHIMU AJIBU NA ABDULRAHMAN MUSSA WALILIWA TAIFA STAR

        


                       Taifa Stars chini ya Kocha Salum Mayanga, imeonekana kuwa na tatizo katika safu yake ya ushambuliaji, lakini kitu cha ajabu nje ya kikosi hicho kuna mastraika tishio kwa kucheka na nyavu, Ibrahim Ajibu na Abdulrahman Mussa.
                                    

                                                                          Mussa anayeichezea Ruvu Shooting alimaliza msimu uliopita akiwa na mabao 14 huku Ajibu aliyepo Yanga kwa sasa alikuwa na mabao manane akiichezea Simba na kuisaidia kuiweka kwenye mbio za ubingwa, lakini wote wameachwa kwenye kikosi cha timu hiyo na kusababisha lawama kwa Kocha A Stars chini ya Kocha Salum Mayanga, imeonekana kuwa na tatizo katika safu yake ya ushambuliaji, lakini kitu cha ajabu nje ya kikosi hicho kuna mastraika tishio kwa kucheka na nyavu, Ibrahim Ajibu na Abdulrahman Mussa

Comments

Popular posts from this blog

SIMBA ILIVYONUSURIKA KUSHUKA DARAJA MWAKA 1989

TUJIKUMBUSHE MECHI KALI KATI YA YANGA NA SIMBA NYAMAGANA 1974?

JINSI YANGA ILIVYOIADHIBU SIMBA MWAKA 1994