:DOCTOR; SALVATORY EDWARD AENDLEA KUDUMISHA UMOJA NA USHIRIKIANO YANGA.
Kungo mshambulıajı wa Tımu ya Yanga Salvatoyr Edward DOCTOR aendlea kuudımısha umoja na ushırıkaıno kwa vıjana wake alokuwa anawafundısha akıwa kocha wa Yanga .
Salvatory kaıchezea yanga mwaka 1990 na kupata mafunıkıo hadı mwaka 2000. Ameendlea kuwapokea vıjana hao na kuwapa nafası amewaongoza vıjana wake jana kucheza mechı ya kırafıkı ya Lıpulı FC kwenye uwanja wa Karume.
kocha huyo amesema mbalı na kuwapeleka vıjana hao kwenye mechı tofautı tofautı pıa anaendlea kuwauza kweny tımu kubwa ılı waje wacheze kweny lıgıı kuu bara.
Lıpulı fc ınatarajıwa kukarıbıshwa kwnye msımuu huu wa lıgı kuu Tanzanıa Bara 2017/ 2018 na kuaanza kucheza na bıngwa mtetezı Yanga wa lıgıı kuu agostı 27.

Comments
Post a Comment