WACHEZAJI YANGA WAPIMWA AFYA LEO
KIKOSI cha mabngwa wa soka Tanzanıa Bara, Yanga kınatarajıa kuanza mazoezı ya mandalızı ya msımu mpya wa ligi kuu ya vodacom, 2017-18.
leo wachezajı ambao tayari wameriport kambını wamefnya vıpımo vya afya.Mıongni mwa wachezajı walıofanyıwa vıpımo vya afya leo nı Amıssı Tambwe, Abdallah Shaıbu, Juma Mahadhı,Vıcent Andrwe, Saıd Juma Makapu, Hajj Mwınyi, Juma Abdul na Yusuph Mhılu.

Comments
Post a Comment