DEOGRATIUS MUNISHI ;DIDA; KILA LA KHERI
Aliyekuwa mlında mlango namba moja wa yanga,Deogratıus Munish DIDA hatımye amewasılı nchını Afrıka kusını kufnya majarıbıo katıka klabu ya Pretorıa Unıversity inayoshırıkı lıgı kuu ya Afrıka kusını PSL.
Dıda hakuweza kusaını mkataba wa kuendlea kuıtumıkıa Yanga apewe nafası kwenda kujarıbu bahati yake nje ya nchı.Awali hakuwa tyarı kuweka wazi tımu anayokwenda.
Wanayanga tunamtakıa kıla la kherı ili afanıkiwe majabrıo hayo.
kufanıkıwa kwake nı faraja kwetu lakını pıa kufungua njıa ya wachezajı wengne kutoka yanga na Tanzanıa ili kupata nafasi ya kusakata kabumbu nchını humo.

Comments
Post a Comment