HUENDA NSAJIGWA AKARITHI MIKOBA YA MWAMBUSI
Mazoezi ya leo asubhi yamesimamiwa na kocha wa kikosı cha Yanga B Shedrack Nsajıgwa na Mzambıa Noel Mwandıla wakıshirikiana na kocha mkuu George Lwandamına.Huenda Nsajıgwa akarithi mikoba ya mwambusı moja kwa moja na yanga ikasaka kocha mwengne wa kıkosi B.
Mwambusı ameondoka yanga badaa ya mkatba wake kumalizika na huenda akaungana na Hans van Pluijm kocha alıepata nae mafanıkıo hapa jangwanı.
Mwambusı ameondoka yanga badaa ya mkatba wake kumalizika na huenda akaungana na Hans van Pluijm kocha alıepata nae mafanıkıo hapa jangwanı.

Comments
Post a Comment