WAKILII DAMASI NDUMARO YAFUTIWA KESI NA TFF


           
 
                 Shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) limetangaza kumfutia kifungo cha kutojihusisha na masuala ya soka wakili Damas Ndumaro ambaye alifungiwa kwa muda wa miaka saba.
Maamuzi hayo yamechukuliwa na Kamati ya rufaa ya TFF  chini ya mwenyekiti wake, Rahim Shaban Zuberi ambaye ndiye aliyetangaza maamuzi hayo kwenye ofisi za TFF zilizopo Karume jijini Dar es Salaam, leo Jumatano.
Hadi anafikia hatua ya kufunguliwa, Ndumbaro alikuwa ametumikia adhabu yake kwa muda wa miaka miwili na nusu.
Katika maelezo yake, Zuberi amesema Ndumbaro hakupata nafasi ya kujitetea na kuna badhi ya mambo hayakuzingatia usawa wakati akifungiwa.

Comments

Popular posts from this blog

SIMBA ILIVYONUSURIKA KUSHUKA DARAJA MWAKA 1989

TUJIKUMBUSHE MECHI KALI KATI YA YANGA NA SIMBA NYAMAGANA 1974?

JINSI YANGA ILIVYOIADHIBU SIMBA MWAKA 1994