SIMBA YASAJILI WALINZI KUMI NA NNE (14) KUMZUIA AJIBU

   


                                     ;KIBERENGE AFURAHI KUCHEZA NA AJIBU


           Jana mchana mabosi wa Yanga walimalizana na Burhan Yahya Akilimali aliyedakwa juu kwa juu wakati akiwania kusajiliwa Lipuli na kumsainisha mkataba wa miaka miwili.
Yahya anayekwenda kwa jina la utani la Kiberenge kutokana na kasi aliyonayo, ametua Jangwani kuchukua nafasi ya Simon Msuva anayejiandaa kutimkia Morocco na amesema anajisikia furaha kutua timu kubwa yenye nyota kama Ajibu, Tambwe na Ngoma na kuahidi kutowaangusha.                                                                                                                
           Hatıme akliekuwa mshambulıaji aliekuwaa aende Lipuli  fc ya Iringa Ibrahım ajibi atua yanga  mpaka xaxa kaıshatua Yanga akıtokea Sımba. Sımba nayo yatıkısa tımu zake za zamanı yaawatoa makıpa5 tano na mabeki 9 kuhakıkısha Ajibu hawaaıbıshi.
           
             Kutua kwa Ajibu ndani ya Yanga na kuungana na safu yenye wachana nyavu hatari wakiongozwa na Amissi Tambwe, Donald Ngoma na Obrey Chirwa waliofunga jumla ya mabao 31 kati ya 57 ya msimu uliopita,  kumewafanya viongozi wa Simba na benchi lao la ufundi kuingiwa na mchecheto mkubwa.
             

                Hofu hiyo ya Yanga kutikisa zaidi mabao imewafanya Simba kuweka nguvu kubwa katika usajili wa nyota hao 14 wa safu ya ulinzi. Mabeki wapya ambao tayari wamejiunga na Simba sasa ni Shomary Kapombe na Erasto Nyoni kutoka Azam, Yusuf Mlipili kutoka Toto Africans na Ally Shomary na Salim Mbonde kutoka Mtibwa Sugar. Mwingine ni Jamal Mwambeleko kutoka Mbao FC.

Comments

Popular posts from this blog

SIMBA ILIVYONUSURIKA KUSHUKA DARAJA MWAKA 1989

TUJIKUMBUSHE MECHI KALI KATI YA YANGA NA SIMBA NYAMAGANA 1974?

JINSI YANGA ILIVYOIADHIBU SIMBA MWAKA 1994