LWNDAMINA ATAMBA KWA KUSEMA LAZMA MASHABIKI WATATUOGOPA KWA KUMPATA NGOMA
Baada Donald Ngoma kuongeza mkataba wa kuichezea Yanga, kocha George Lwandamina amesema kitu alichokifanya Ngoma ni cha kupongezwa Baada ya mshambuliaji Donald Ngoma, kuongeza mkataba wa miaka miwili kuichezea Yanga, kocha mkuu wa timu hiyo George Lwandamina, amesema kitu alichokifanya Ngoma ni cha kupongezwa. Lwandamina amevıambıa vyıombo vya habarı kuwa anamhıtajı sana Ngoma kwenye kikosi chake cha msimu ujao hivyo kitendo cha kuongeza mkataba kimempa matumaini ya kufanya vizuri msimu ujao. “Ni jambo zuri na wachezaji wengine wanatakiwa kuiga mfano wake Ngoma ni mchezaji anayestaili kuichezea Yanga kutokana na rekodi yake aliyoifanya akiwa na timu hiyo huko nyuma,”amesema Lwandamina. Mzambia huyo amesema baada ya kushindwa kumtumia kwa muda mrefu msimu uliopita anaamini msimu ujao atakuwa na nafasi kubwa ya kutimiza majukumu yake uwanjani na kuwafurahisha mashabiki wao. Amesema kubaki kwa Ngoma kwenye kikosi cha Yanga kutaongeza hofu hata kwa wapinzan...