LIGI KUU BARA...WACHEZAJI MAHIRI KUPIGA MIPIRA YA ADHABU NDOGO
Ibrahim Ajibu | Amekuwa akifunga magoli ya mipira ya adhabu mara kwa mara tangu akiwa Simba, msimu huu tayari amesha fanya hivyo dhidi ya Njombe Mji Thaban Kamusoko | Tangu ajiunge na Yanga misimu mitatu nyuma amekuwa ndiye mpigaji maalumu wa mipira ya adhabu, Hajawahi kufanya kosa Shiza Kichuya | Amejizolea umaarufu katika kipengele cha kupiga mipira ya adhabu maarufu kama "Kichuya Kona". Emmanuel Okwi | Ni mara ya tatu anarudi kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bara, awamu moja Yanga na hii ni ya tatu kwa Simba, msimu huu bado hajaonyesha cheche zake, lakini anak...