LIGI KUU BARA...WACHEZAJI MAHIRI KUPIGA MIPIRA YA ADHABU NDOGO
Ibrahim Ajibu |
Amekuwa akifunga magoli ya mipira ya adhabu mara kwa mara tangu akiwa Simba, msimu huu tayari amesha fanya hivyo dhidi ya Njombe Mji
Thaban Kamusoko |
Tangu ajiunge na Yanga misimu mitatu nyuma amekuwa ndiye mpigaji maalumu wa mipira ya adhabu, Hajawahi kufanya kosa
Shiza Kichuya |
Amejizolea umaarufu katika kipengele cha kupiga mipira ya adhabu maarufu kama "Kichuya Kona".
Emmanuel Okwi |
Ni mara ya tatu anarudi kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bara, awamu moja Yanga na hii ni ya tatu kwa Simba, msimu huu bado hajaonyesha cheche zake, lakini anakumbukwa kwa maajabu ya faulo misimu aliyowahi kucheza bongo.
Himid Mao |
Nahodha huyo wa Azam si ajabu kuliona jina lake kwenye orodha hii, kwani umahiri wake unafahamika kwa kila mdau wa soka la Tanzania na Afrika Mashariki.
Aggrey Morris |
Faulo zake mara nyingi ni zile za mtindo wa mashuti, hiyo ndiyo sifa yake kuu na ameshafunga mara kwa mara kwa namna hiyo.

Comments
Post a Comment