Timu za Ligi Kuu Bara zenye wafuasi wengi kwenye mtandao wa Instagram

Yanga: Wanashika nafasi ya tatu nyuma ya Simba na Azam kuwa na wafuasi wengi kwenye mtandao wa Instagram, in wafuasi elfu 82

 Azam: Waoka Mikate hao wa Dar es salaam, wanajumla ya wafuasi 108,000 kwenye akaunti yao ya Instagram, ana shika nafasi ya pili nyuma ya klabu ya Simba.

 Simba: Ndiyo klabu yenye wafuasi wengi kwenye mtandao wa Instagram hapa nchini, ina jumla ya wafuasi ya zaidi ya 196,000

 Mbeya City: Anazidiwa wafuasi na klabu za Dar es salaam pekee, ana kamata nafasi ya nne baada ya kuwa na wafuasi 64 katika akaunti yake ya Instagram.

 Mtibwa Sugar: ana jumla ya wafuasi 38 katika akaunti yake, ana kamata nafasi ya tano kwa klabu zenye wafuasi wengi Instagram.

Comments

Popular posts from this blog

SIMBA ILIVYONUSURIKA KUSHUKA DARAJA MWAKA 1989

TUJIKUMBUSHE MECHI KALI KATI YA YANGA NA SIMBA NYAMAGANA 1974?

JINSI YANGA ILIVYOIADHIBU SIMBA MWAKA 1994