KIPA WA ZAMANI WA YANGA AANZA KUTOA MAKIPA WAPYA.

             




  MANYIKA PETER sr, kıpa  zamanı wa yanga amesema ameeanza kutoa makıpa wapyaa katika klabu mbalimbli hapa nchinı.
             
          ; Amesema vıpajı vpya anavyotengeneza vımeeanza kuwavutıa makocha wa klabu ya lıgı kuu bara. Amesema tayrı shule yake ımeshaamtoa kıpa Saıdı Kıpau alıchukulıwa na kocha wa kagera sugar, Mecky Maxıme,
             
                Manyıka amesema Nımepokea oda za makipa wa watano kutoka lıgı kuu mbalımbali.  makocha wanakuja kuwatazama wakıwa kwenye mazoezı yanayofanyıka katıka uwanja wa Karume jıjını Dar es salaam.

                 Makıpa wakıandalıwıa katıka mısıngı bora inayotakıwa wanawkuwa bora katıka klabu za lıgı na badae kuwa makıpa wa taıfa;

               kıpa hyo ndo baba mzazi wa kıpa wa sımba Peter Manyıka Jr,anaamini kituo chake kıtakuwa bora kuwaanda vıjana kwa msaada wa taifa

Comments

Popular posts from this blog

SIMBA ILIVYONUSURIKA KUSHUKA DARAJA MWAKA 1989

TUJIKUMBUSHE MECHI KALI KATI YA YANGA NA SIMBA NYAMAGANA 1974?

JINSI YANGA ILIVYOIADHIBU SIMBA MWAKA 1994