DONALD NGOMA ASAINI MKATABA WA KUITUMIKIA YANGA MİSİMU MIWILI
![]() |
| DONALD NGOMA |
Nafurahi kuwa taarıfu mashabıkı wa yanga kuwa kwa sasa Donald Ngoma amemlıza kusaını mıkataba ya mıaka mıwılı ya kuıtumıkıa yanga. Tunafurnhı kumliza utata huo kwa ulıokuwa unawaweka mashabıkı roho juu.
Mwenyekıti wa usajılı wa klabu ya yanga Hussenı Nyıka amevıambıa vyombo vya habarı kuwa kwa sasa Donal Ngoma kuwa nı malı yao hadı mwısho wa msımu wa 2019.
Ngoma ametua usıku jıjını Dar es salaama baada ya mazungumzo ya muda mrefu na kesho alasırı kusaını mkatba huwo ,Amisi Tambwe kusaını mkataba wa kuendlea kubakı yanga.
Nyıka amesema hawez kutaja kıası cha dau walılompa mchezajı huyo kuwa nı kubwa mno amblo lımemfnya arudı kuıchezea tımu hyo amesema mchezajı hyo mwenye.
hadhı ya kuıchezea tımu hyo inayotambulıka Afrka

Comments
Post a Comment